<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>2</hymn_number>
<title>Twamsifu Mungu TZR2</title>
<lyrics>[V1]
 Twamsifu Mungu kwa Mwana wa Pendo,
 Aliyetufia na kupaa juu.

[V2]
 Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amen.
 Aleluya! Usifiwe, utubariki.

[V3]
 Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu,
 Ametufunulia Mwokozi wetu.

[V4]
 Twamsifu Mwana, aliyetufia,
 Aliyetwaa dhambi akazifuta.

[V5]
 Twamsifu Mungu wa neema yote,
 Ametukomboa akatuongoza.

[V6]
 Tuamshe tena, tujazena pendo,
 Na moyoni uwashe moto wa Roho.</lyrics>
</song>